Polisi jijini Nairobi leo Julai 7, 2020 wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamanaji katika mitaa mbalimbali ya jiji la Nairobi wanaoelezwa kuingia barabarani wakipinga mauaji ya kiholela ambayo kwa mujibu wao wanadai yanatekelezwa na Polisi.
Facebook: [ Ссылка ]
Twitter: [ Ссылка ]
Subscribes: [ Ссылка ]
Ещё видео!