Kuelekea Kwenye Week Ya Wanaume Dunia, Mbosso Aliungana na Familia Ya CRDBbankplc na Kukata Cake na Mkurugenzi Mtendaji (CEO) Abdulmajid Mussa Nsekela Ambae Amezaliwa siku Hiyo. Pia Tukio Hili lilijumuika na Board Of Directors wa CRDBBANK, Managers Wote Wa Matawi yote ya Dar, Pwani na Kuangaliwa Live Kwenye Matawi yote ya Bank Hiyo Dunian Kote.
[ Ссылка ]
For Bookings: mbosso@wcbwasafi.com
Follow Mbosso On:
Instagram:[ Ссылка ]_
Twitter:[ Ссылка ]
Facebook:[ Ссылка ]
#wasafi #mbosso
Ещё видео!