Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa mraibu wa dawa za kulevya amefariki katika eneo la Ukunda kwa kukosa dawa. Fatma Pochi ambaye ni mama wa mtoto mmoja alifariki akiwa hospitalini. Idadi kubwa ya waraibu wa mihadarati wamefariki kutokana na ukosefu wa dawa hizo tangu msako kuanza katika kampeni ya kuiondoa mihadarati Pwani ya Kenya .
Watch KTN Live [ Ссылка ]
Watch KTN News [ Ссылка ]
Follow us on [ Ссылка ]
Like us on [ Ссылка ]
Ещё видео!