#KaruraVoices #WimboWaSifa
Official Music Video for "Wimbo Wa Sifa" by Karura Voices. SEND - SKIZA 7636982 - to 811
Wimbo Wa Sifa was Produced by Dominick Khaemba. This single is from the album "Wimbo Wa Sifa".
Follow us on Instagram | [ Ссылка ]
Like us on Facebook | [ Ссылка ]
Also on TikTok | [ Ссылка ]
Not forgetting Twitter | [ Ссылка ]
LYRICS
Ewe Mungu usiye shindwa,
Sifa nakurudishia
Ewe Baba usiyeshindwa,
Sifa nakurudishia
Vita umenipigania
Sifa nakurudishia
Milango umenifungulia
Sifa nakurudishia
Nakuimbia wimbo wa sifa, wimbo wa sifa, Aah
Wakuimbia mwingine sina, mwingine sina, Aah
Nacheza densi kiafrika, kiafrika
Nikupe sifa aaah
Nacheza, Nacheza, Nacheza
Nacheza, Nacheza, Nacheza, Nacheza
Nachezea baba, Nachezea baba, Nachezea baba
#KaruraVoices #WimboWaSifa #GospelMusic #PraideAndWorship
©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.
Ещё видео!