NOVENA YA SAA 15 KATIKA SHIDA KUBWA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA
- Ee Mungu chemichemi huruma na msamaha ulimteua mtumishi wako Rita wa Kashia ili awe mwombezi wa waote walio katika mahangaiko makubwa.
- Nakuomba kwa maombezi yake yenye nguvu, neema ya kuondokana na shida hii kubwa (Taja shida yako) bila maombezi yako ee Mtakatifu Rita, siwezi kujinasua na shida hii kubwa. nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya altare ya Mungu huko mbinguni. Mungu hakukatalii wewe kitu chochote kwani wewe ni mtakatifu na mwombezi wa yote kwa akili za kibinadamu.
- Kwa nia ya Kristo Bwana wetu. Amina (Sali sala ya Baba yetu mara 3, Salamu Maria mara 3 na Atukuzwe Baba mara 3).
.
.
www.radiomaria.co.tz
Ещё видео!