MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema bandari ya Tanga itatumia shilingi Bilioni 170 kwa ajili ya upanuzi na kuongeza kina ili meli ziweze kufika karibu na gati kwa ajili ya kushusha na kupandisha shehena mbalimbali za mizigo.
Akizungumzia hilo Mwenyekiti wa Bodi ya TPA, Profesa Ignatus Rubaratuka alisema kuongeza kwa kina hicho ni kuhakikisha meli zitakua zinasogea mita 200 karibu na gati ili iweze kushusha mizigo kwa urahisi zaidi.
Ещё видео!