Waziri wa Ujenzi na uchukuzi Makame Mnyaa Mbarawa amefanya ziara kuangalia maendeleo ya barabara ya Tanga Pangani na kumtaka mkandarasi kuongeza nguvu katika Ujenzi wa Barabara hiyo kwani iko nyuma ya wakati.
Akizungumza wakati wa ziara hiyo Waziri Mbarawa ameziagiza mamlaka kuhakikisha Ujenzi huo unasimamiwa vizuri na unajengwa kwa kiwango kinachotakiwa.
Ещё видео!