Kiasi cha Sh998 milioni kinatarajiwa kutumika katika mradi wa kuboresha mandhari ya mitaa ya Temeke kwa kupanda miti, maua na bustani.
Fedha hizo pia zitatumika katika uboreshaji wa mazingira katika eneo la wazi la uwanja wa Mwembeyanga unaolenga kuupa mwonekano wa kijani.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo amewaita wadau wilayani humo kushiriki katika kuboresha muonekano wa maeneo mengine ya wazi wilayani humo.
Ещё видео!