Hosea 4:6
[6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Maarifa ni taarifa sahihi juu ya jambo fulani.Taarifa sahihi ni ufunguo ambao utakusaidia kufungua malango ambayo unapaswa kuingia.
Watu wanaozungumziwa hapa sio watu wasiomjua Mungu,Mungu anawaita "watu wangu" maana yake ni watu wanaomjua Mungu.Na anavyosema kuwa "umeyakataa maarifa..." ni kwamba aliwapelekea hao watu maarifa lakini wakayakataa na athari yake ndio hiyo wanaangamizwa.Na Mungu anasema kwa sababu hiyo Yeye(Mungu) atawakataa wasiwe makuhani wake.
Maarifa sahihi ni muhimu kwa sababu yatakufanya ufanye kazi yake kwa urahisi na ufanisi.
Katika somo hili utajifunza maana halisi ya maarifa,ni maarifa gani unayopaswa kuwa nayo,kwanini Mungu anataka uwe na maarifa sahihi, na athari za kukosa maarifa.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: [ Ссылка ]...
Follow our Instagram: [ Ссылка ]...
Subscribe our YouTube: [ Ссылка ]...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:[ Ссылка ]
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube
[ Ссылка ]
Ещё видео!