Bondia maarufu nchini Tanzania Karim mandonga kama ilivyo kawaida yake hua haushiwi tambo na maneno ya kumtisha mpinzani wake,
Katika kuelekea kwenye pambano lake dhidi ya bondia saidy ndambwe litakalofanyika kigamboni jijini dar es salaam hivi karibuni, Karim mandongq amekuja na slogan yake mpya alioipa jina NGUMI SGR. yani hiyo ngumi ukipigwa hapa unaamkia morogoro.!!!
#mandonga #boxing #mafiaboxing #boxingpromotion #twahakiduku #mwakinyo #dullambabe #vitasa
Ещё видео!