Graham Shema sio mtoto wa kawaida. Akiwa na umri wa miaka 10, kijana huyu wa Uganda tayari ameendesha ndege halisi kama rubani mwenza. Kilichoanza utotoni kwa kuvutiwa na ndege za kuchezea kilimchochea kusomea urubani shuleni na hata kufanya atambuliwe na mmiliki wa magari ya Tesla Elon Musk. #VijanaMubashara #77Asilimia #Rubanimdogo #GrahamShema #Uganda
Ещё видео!