Safari ya Kutoa Elimu kuhusu Matumizi ya Nishati safi ya kupikia ni jukumu la Kila mtanzania, lakini Safari hii limemuangua Muigizaji wa Filamu Tanzania Mariam Ferej au Ukipenda Muite @ferej_the_best licha ya Umaarufu wake kwenye Uigizaji akini huyu dada ni Mpishi mzuri sana, Unajua ametuandalia nini? na amekuwa na stori gani wakati tunapika pamoja?
Ещё видео!