Hizi hapa biashara ndogondogo zenye faida kubwa kwa mtaji mdodgo
Unatafuta wazo la biashara yenye mtaji mdogo lakini faida kubwa? Katika video hii, nitakushirikisha biashara 10 bora ambazo unaweza kuanza hata kwa mtaji mdogo sana na bado ukapata faida kubwa. Biashara hizi ni rahisi, zinahitaji rasilimali chache, na zina nafasi kubwa ya kukua haraka!
Tutajadili hatua unazoweza kuchukua ili kuanza, changamoto unazoweza kukutana nazo, na mbinu za kuongeza faida. Hakikisha unatazama hadi mwisho ili usikose fursa hizi za kipekee!
CHAPTERS:
00:47 Biashara ya Matunda
02:08 Biashara ya Juisi za matunda
03:15 Biashara ya Dagaa wa mwanza
04:30 Biashara Ya Mkaa
05:26 Biashara ya genge la mboga na matunda
06:45 Biashara ya vitafunwa / Bites
08:10 Biashara ya vinywaji
09:19 Biashara ya Uji
10:19 Biashara ya kuku
Ещё видео!