Wakati taifa likielekea wiki ya kilele cha maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere pia tunaelekea katika hitimisho la wiki ya uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Zoezi hilo limeonekana kulega lega kwa baadhi ya maeneo.
Je, kuna tatizo mahali?
Tunajadili hayo kiundani katika MIZANI YA WIKI inayoongozwa na Nurdin Selemani akiwa na mkuu wa wilaya ya kinondoni, Daniel Mchongolwa, mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa John Shibuda, mhadhiri wa idara ya sayansi ya siasa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, Richard Mbunda.
Ещё видео!