Fundi ni Tamthilia inayoonesha Maisha ya Mafundi na Vimbangwa vyao, Fundi Sule anapambania penzi lake kwa Binti Prisca huku fundi Joel akisemwa maneno makali na kushindwa kulipa kodi ya nyumba, huku Papi makucha akiambulia kipigo na mwisho wa siku maisha ya Fundi lazima yaendelee... usisahau kusubscribe ili usipitwe na Fundi
Ещё видео!