Wafanyabiashara wa Kitengela wamekadiria hasara ya mamilioni ya fedha kufuatia maandamano ya hapo jana huku mtu mmoja alifariki kutokana na majeraha ya risasi. Baadhi ya maduka yakisema yanakadirria hasara ya zaidi ya shilingi milioni 50.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Ещё видео!