Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedhamiria kwenda mahakamani, kutafuta haki dhidi ya adhabu ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ya kumfungia mbunge wa Kibamba, John Mnyika, kutohudhuria vikao vya chombo hicho cha kutunga sharia kwa siku saba. Adhma hiyo imetangazwa na mnadhimu mkuu wa chama hicho Tundu Lissu
Ещё видео!