Waimbaji wa Kwaya ya Mt. Fransisco wa Assis kutoka Parokia ya Mt. Fransisco wa Assis Kwangulelo - Jimbo Kuu Katoliki Arusha, wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo mzuri wa Pasaka. Wanakualika kutoa sadaka ya kweli kwa Kristo Yesu aliyeshinda mauti.
WAIMBAJI: Kwaya ya Mt. Fransisco wa Assis - KWANGULELO
MTUNZI: V. C. MGANI
WAALIMU: SERAPHIN KIMARIO & JOSEPH J. FISSOO
ORGANIST: JOSEPH J. FISSOO (JJ-FISSOO)
STUDIO: KIKUMBO SOUND (Audio & video)
DIRECTOR: Zephania Kikumbo
CONTACT US:- Phone: +255 756 853 681
+255 687 583 537
Email: kikumbosound10@gmail.com
Ещё видео!