Nitakwenda Mimi mwenyewe nikatoe sadaka kwa Bwana
Aliyeniumba mimi hadi nikapendeza
Kaniumba kwa mfano wake kuliko viumbe vingine na sasa nikatoe shukrani
Mtunzi: I Myaga
Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki
Tazama pia Anayekula Mwili wako, Twimbe kwa shangwe na furaha, Nijaposema kwa Lugha, pamoja na Nimeahidi Yesu. Sasa zimo humu
#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa
Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Wanameremeta (Bernard Mukasa) Nikupe Nini Mungu wangu cha kukupendeza, Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Vipaji hivi ni kama dhabihu, sadaka yangu kwako ee Mungu, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu na ipae mbele yako
Ещё видео!