KUBENEA: "Kuna Hatari Bombadier Zikakamatwa Tena, Tunadaiwa BIL 80"
Mbunge wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amechangia hoja bungeni leo kuhusu wizara ya uchukuzi na mawasiliano inayosimamiwa na Profesa Makame Mbarawa.
Mbunge Kubenea ameomba ufafanuzi kutoka kwa Waziri Mbarawa juu ya shirika la ndege la ATCL ambalo anadai limefunguliwa kesi nchini Uingereza kutokana na madeni hali ambayo inaweza kusababisha ndege zetu za Bombadier kukamatwa.
lnstal GlobalPublishersApp Android: [ Ссылка ] iOS: [ Ссылка ] Subscribe [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]...
TWITTER: [ Ссылка ] Visit [ Ссылка ], Subscribe [ Ссылка ]
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… [ Ссылка ] [ Ссылка ] [ Ссылка ] WEBSITE: [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] INSTAGRAM: [ Ссылка ]..
Ещё видео!