Wazazi na walezi wanatakiwa kujikita katika malezi ya watoto wao ili kuwalinda na athari zinazojitokeza ikewemo maadili yasiyofaa katika Jamii.
Ushauri huo umetolewa na Mkuu wa shule ya Rose Pre and Primary school Salimin Shaban katika mahafali ya 15 ya shule hiyo ambayo amesema malezi mema ndio msingi wa maisha mazuri ya watoto hapo baadae.
Amesema shule hiyo tangu kuanza kwake imesaidia watoto wanatoa katika familia dunia na wale wa mtaani Mia moja kwa kuwasomesha bure
Akizungumza kwa niaba ya wazazi, Hawa Said, Akiwataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawaandalia watoto mlo kamili kabwa ya kwenda shule, ili kuondoka Hali ya udumavu inayotajwa kukumba watoto, katika Mkoa mbalimbali hapa Nchini.
Na hapa mdau wa maenddeleo, Nicodemus Massao akiwataka walimu kuwalea, kuwalinda watoto wakati wote wakiwa mashuleni kwani waalimu ndio wanaotumia muda mwingi kuishi na watoto zaidi ya wazazi.
Ещё видео!