TAZAMA SHOW YA DULLAH MAKABILA NANDY FESTIVAL 2022 , AWACHEZESHA WASUKUMA SINGELI | UTAPENDA MDUARA - Смотреть видео или скачать видео в MP4, музыку MP3 на телефон или компьютер
Kupitia Nandy Festival kipande cha Rock City Mwanza Dullah Makabila ni moja kati ya wasanii ambao waliuwasha moto wa burudani na mashabiki wake wengi walionesha kupagawa na burudni hiyo hii ni show yake yote ambayo aliifanya.