Gavana wa kaunti ya Machakos Alfred Mutua ametoa changamoto kwa wanasiasa kutilia maanani masuala ya maendeleo badala ya kutumia wakati mwingi wakimsuta naibu rais William Ruto. Mutua anadai kuwa tabia ya wanasiasa ya kumtaja naibu rais mara kwa mara inampa umaarufu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Kwingineko, seneta wa kaunti ya Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen anapendekeza mabadiliko ya sheria kuondoa kifungu kinachowataka wawaniaji wa nyadhifa za kisiasa wawe na shahada kutoka vyuo vikuu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #KBCNews #Kenya
Ещё видео!