Kwa mara nyingine Kiongozi wa Nasa Raila Odinga ameishutumu tume huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kuhusiana na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Agosti 8. Odinga alidai kwamba IEBC inaruhusu waingilizi kutoka nje ya Tume kutatiza kazi na uhuru wao. Kinara wa NASA amesema hayo katika mkutano na wanahabari jijini Nairobi kabla ya kuenda katika kaunti ya Kiambu kuomba kura.
Ещё видео!