DAR BOXING DERBY | Anuary Mlawa na Ramadhan Migwede wamepima uzito na kukamilisha Face Off, tayari kwa poambano kesho.
Endelea kutazama LIVE #AzamSports1HD
Kwani, nyie hamuogopi????
Kimbembe ni kesho Juni 29, LIVE #AzamSports3HD kuanzia saa 1:00 usiku, pambano kuu likiwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
(✍️ @abuuyusuftz)
#DarBoxingDerby #NyieHamuogopi #Vitasa #UsikuWaVitasa #NassibRamadhan #JumaChoki
Ещё видео!