Kesi kuhusu madai ya wizi wa kura inayomkabili mwakilishi wa wanawake kaunti ya Murang'a Sabina Chege sasa itasikizwa na tume huru ya uchaguzi-IEBC mwezi ujao. Kesi hiyo iliyokuwa imepangwa kuanza leo mbele ya kamati ya maadili ya tume ya IEBC iliahirishwa kutokana na ombi la wakili Otiende Amolo kuwa mbunge huyo anaugua na anapokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi. Ben Chumba na taslifu kamili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #IEBC #SabinaChege
Ещё видео!