Kilele cha Maadhimisho ya miaka 46 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduz(CCM) katika Wilaya ya Kwimba imefanyika Tar29/01/2023 katika kata ya Nyambiti Wilyani humo mgeni rasmi akiwa ni mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kwimba Ndg. Sabana Lushu
Burudani mbalimbali ziweza kuburudisha hadhira hiyo mbele ya mgeni rasmi Maadhimosho hayo yalifana kufikia hatua aliekuwa Katibu Mwenezi taifa wa Tadea kurejesha kadi yake ya chama na kujisajili rasmi ndani ya CCM aidha alipata fursa ya kusema na wananchi wa eneo hilo na kuwaomba wale ambao hawajajiung na CCM wafanye hivyo sasa kwani Vyama Vyengne havina sera za kweli maendeleo yapo CCM
Mgeni rasmi Ndg. Sabana Lushu aliweka msisitizo juu ya upendo na amani katika nchi yetu hasa wana Chama Cha Mapinduzi
Ещё видео!