Ikiwa ni siku 140 zimepita upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Thomas Magoli anayekabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kujifanya Afisa Usalama haujakamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Katika kesi namba 98 ya mwaka 2019 mshtakiwa huyo alifikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo Septemba 20, 2019 akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kujifanya Ofisa Usalama wa taifa ili kumsaidia Rais wa zamani wa Shirikisho la Mapira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi
Wakili wa Serikali, Grory Mwenda alidai mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu , Vicky Mwaikambo alidai kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili ya kutajwa na upelelezi wake bado haujakamilika.
Ещё видео!