Kama yalivyo maeneo mengine ya dunia, bara la Afrika halijasalimika na mapinduzi ya kiraia na kijeshi. Lakini wakati mwingine mapinduzi haya, hupelekea mauaji ya wanaopinduliwa.
Hapa tunaangazia baadhi ya marais watano waliouawa barani Afrika, baada ya serikali zao kuzindiwa.
#bbcswahili #uongozi #mapinduzi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili [ Ссылка ]
Ещё видео!