Wimbo wa Noeli ya kwanza 'The First Noel' kama ulivyoimbwa na AMEC (Arusha Men's Choir).
"The First Nowell" is of Cornish origin. Its current form was first published in Carols Ancient and Modern (1823) and Gilbert and Sandys Carols (1833), both of which were edited by William Sandys and arranged, edited and with extra lyrics written by Davies Gilbert for Hymns and Carols of God.
Source: [ Ссылка ]
Wimbo huu umeimbwa kwa Lugha ya Kiswahili na Spanish.
Audio na Video vimefanywa na RAJO PRODUCTIONS
Waimbaji wakiwa ni ARUSHA MEN's CHOIR (AMEC)
(Ray Ufunguo, Tumaini Swai, Lawrence Kameja na Colman Ufunguo)
Tunamshukuru Fr.Teilo M Lwande AJ. kwa ushauri wa tafsiri ya Lyrics.
Tunakaribishwa kuendelea kusheherekea kwa amoja ujio wa Mfalme wa Israel.
#rajo productions #christmassongs #La primeraNavidad #TheFirstNoel #christmascarols #gospelmusic
Ещё видео!