Hizi ni dawa tano za asili za kukusaidia kutibu na kumaliza kabisa kikohozi kikavu bila kuhangaika na dawa zenye kemikali za madukani. Hizi ndio njia walizotumia bibi na babu zetu zikawasaidia kuwaepusha na magonjwa ya kila aina.
Tujifunze sio kila dawa za asili ni uchawi, zipo dawa zinazofanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana kuliko hata hizo dawa za madukani. Kikohozi ni ugonjwa ambao humpata kila mmoja wetu, Katika video hii nimekuwekea namna ambavyo unaweza kujitibu kikohozi kikavu kwa njia tano za asili.
Iwapo una swali au kuna kitu unatamani kujua, niulize kwenye comments hapo chini na nitakujibu, usisahau ku LIKE video hii na Mungu akubariki sana.
#KikohoziKikavu #AfyaYako
Ещё видео!