Wagosi wa Kaya, Coastal Union wametoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Ruvu wametangulia kwa bao la Fully Zullu Maganga lakini Coastal wakachomoa kwa goli la Rashid Chambo na kuongeza la pili kwa kona ya moja kwa moja kutoka kwa Ayoub Masoud.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!