STAND UNITED ya SHINYANGA YAZINDUA RASMI JEZI MPYA za MSIMU MPYA wa LIGI YA CHAMPIONSHIP...
TIMU ya mpira wa miguu Stendi United ya Shinyanga, imezindua rasmi jezi mpya, ambazo zitatumia katika msimu wa ligi ya championship 2024/2025.
Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 19,2024 katika uwanja wa nguzo nane Manispaa ya Shinyanga.
Kocha Mkuu wa Timu ya Stendi United Meja Abdul Mingange, akizungumza kwenye uzinduzi wa jezi hizo mpya, amewaomba mashabiki wa timu hiyo maarufu chama la wana, kwamba wajitojkeze kwa wingi kuiunga mkono timu hiyo, ili iendelee kufanya vizuri katika ligi ya Championship na kuja kushiriki ligi kuu ya Tanzania bara.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 [ Ссылка ]
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
Ещё видео!