TUKIO la Mama ALIYEMCHINJA Mwanae na KUMPIKA, Ndugu WASIMULIA "KICHAA"
Mwanamke Mmoja ambaye ametambulika kwa jina la Happyness Shadrack mwenye umri wa miaka 36 Mkazi wa kijiji cha Buligi Kata ya Senga Wilayani na Mkoani Geita , amedaiwa kumchinja mwanae na kisha kumchemsha kwenye maji ya moto
Inadawa kuwa siku ya tukio hilo Mama huyo na Mwanamke walikuwa nyumbani kwa Mama yake Mzazi Ruth Shadrack, alimchukua mwanae aliyekuwa amelala ndani na kisha kumkatakata vipande vidogovidogo na kisha kumweka ndani ya sufuria na baadae alimchochea kwenye moto.
#MAUAJI
[ Ссылка ]... [ Ссылка ]... Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ]
Ещё видео!