Ujumbe huo umetolewa hivi karibuni katika parokia ya Miyuji na vica wa watawa wa Jimbo kuu Katoliki la Dodoma Padre Philo Nguruwe , Mama Mkuu wa kanda ya Afrika Mashariki Sista Jinipher Odira Muga wa shirika la masista wa Upendo wa Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili wa Ivrea, wanaofanya utume wao Miyuji Jimboni Dodoma na Mhashamu Askofu mkuu Beatusi Kinyaiya OFMCap wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Aidha masista kumi na moja wameweka nadhiri zao za kwanza katika Parokia ya Miyuji Mbwanga Jimbo kuu Katoliki Dodoma, Mama Mkuu wa Kanda sista Jenipher amewapangia utume sehemu mbalimbali na kutangaza rasmi watakakofanya utume huo.
MTAZAMAJI WA JOHARI UNAWEZA KUSHIRIKI UINJILISHAJI KWA KUWEZESHA UTUME WA JOHARI KUPITIA M-PESA LIPA NAMBA 5461105 JINA NI JOHARI MEDIA,
ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI
Ещё видео!