wakatiwa Misa takatifuyaUpadre kwa Mashemasi 11.
▪︎Misa imeadhimishwa na Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba, Askofu Method Kilaini, ambapo ametoa Sakramenti Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 11 wa Jimbo, kwa Kushirikiana na Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga na Askofu Desderius Rwoma Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Ещё видео!