Jopo la tume ya uchaguzi na mipaka Iebc limeahirisha siku ya kutoa maamuzi kuhusu kesi zilizoibuka kutokana na uteuzi hadi siku ya Jumatatu. Jopo hilo limeafikia hilo baada ya kukosa kukamilisha kesi zilizowasilisha mbele yake. Huku hayo yakijiri baadhi ya vigogo wa kisiasa kama vile Otieno Kajwang alikuwa na wakati mgumu kutetea maadili yake kutoka kwa pale wakili wa aliyemshtaki.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on [ Ссылка ]
Ещё видео!