Kwaya Kuu ya Mtakatifu Cecilia wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Theresia wa MtotoYesu, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.
Wanatushirikisha kusikiliza wimbo Huu unaoitwa Yesu Kristo ni Mfalme, Utunzi wake Ray Ufunguo.
Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions,
Kinanda Kimechezwa naye Gabriel C. Mkude Sekulu
Tunaposikiliza na kutazama wimbo huu,Tuzidi kubarikiwa.
Ещё видео!