Askari wa wanyamapori mkoani Iringa wamefanikiwa kumthibiti simba anayedaiwa kutoroka Hifadhi ya Taifa Ruaha na kuingia katika Kijiji cha Ilamba ambapo alimjeruhi sehemu mbalimbali Askari Muhifadhi daraja la tatu, Charles Mafuru katika mapambano ya kumdhibiti simba huyo anayedaiwa kula mifugo.
Leo TV Online Ni runinga ya mtandaoni inayokupasha habari za ukweli na uhakika kila mara.
#subscribe #LeoTvtz #LeoTVonline #breakingnews #tanzania #siasa #wasafifm #wasafitv #wasafimedia #millardayo #darmpyatv #simulizinasauti #hshorts
Ещё видео!