Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejment ya Utumishi wa Umma GEORGE MKUCHIKA amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya Maafisa Utumishi Nchini kwa kushindwa kuandaa haraka nyaraka za baadhi ya watumishi wa Umma pindi wanapostafu.
Akizungumza mara baada ya kupata malalamiko ya baadhi ya wastaafu kuhusu ucheleweshaji stahiki zao kutoka maeneo mbalimbali Nchini amesema fedha ya kulipa mafao zipo kinachotakiwa ni uhakiki na nyaraka kufanyika mapema.
Ещё видео!