Dr. Challo ni mkufunzi mwandamizi wa vyuo vya Biblia chini ya kanisa la TAG, yeye na mke wake Mama Betty Challo wamekuwa wakifanya huduma za kuwasaidia vijana katika maeneo ya mahusiano, ushauri kabla ya ndoa, ndoa na malezi kwa ujumla.
Jumapili ya 12/2/2023 tulipata neema ya kuungana nao hapa kanisani kwaajili ya #Lovecovers2023. Video hizi ni sehemu tu ya yale tuliyozungumza nao.
Ещё видео!