May 18, 2018 Kikao cha thelathini na mbili cha Bunge la kumi na moja kimeendelea Bungeni Dodoma ambapo Wabunge wanajadili mabeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika kipindi cha maswali na majibu Spika wa Bunge Job Ndugai akaamua kuwafurahisha wabunge wake kwa utani kuhusu Uvaaji wa Kanzu na Hijabu huku akimtolea mfano Naibu wake Dr Tulia Ackson.
Ещё видео!