Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wamefanya mazungumzo ya faragha kabla ya kukutana na waandishi wa habari ambapo Makamu wa Rais ameeleza kuwa wamekubaliana kuongeza ushirikiana katika maeneo kadhaa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili.
#makamurais #kamalaharris #rais #tanzania #samiasuluhu #voaswahili #dunianileo Show Less
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Ещё видео!