Kuelekea Uchaguzi wa Mwezi Novemba nchini Marekani kati ya Rais Joe Biden na Donald Trump nini cha tofauti mwaka huu?
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: [ Ссылка ]
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: [ Ссылка ]
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : [ Ссылка ]
»Download VOA+ katika vifaa vya Android [ Ссылка ]
»Tembelea Tovuti yetu: [ Ссылка ]
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: [ Ссылка ]
»Tufuatilie katika Instagram: [ Ссылка ]
»Tufuatilie katika X: [ Ссылка ]
»Tufuatilie katika YouTube: [ Ссылка ]
Ещё видео!