Rais Uhuru Kenyatta amefungua rasmi kongamano la kimataifa kuhusu idadi ya watu na maendeleo ya jamii kwa kutoa ahadi kwamba serikali itaweka mikakati kabambe ya kumaliza visa ya ukeketaji nchini ifikiapo mwaka wa 2022. Rais kenyatta pia alihimiza mataifa mengine kuweka mikakati ya kukabiliana na dhulma dhidi ya wanawake.
Ещё видео!