Leo yatimizwa maneno ya kale; Masihi kazaliwa heko kwake
Shangwe kuu tumpokeapo mgeni mwana wa Mungu Kristo.
wimbo wa Christmas
Nyimbo nyingine za Christmas Mbali kule nasikia, wachungaji wakaenda kwa haraka, kengele zasikika, Usiku wa Manane, Noeli ya kwanza, Mwokozi amezaliwa, Bwana kazaliwa
#SautiTamu #kwayakatoliki #Christmas #Noeli #advent
Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies.
Umeandaliwa na Martin Munywoki
Ещё видео!