Ndugu karibu Tuungane pamoja kutazama Wimbo maalum kwa ajili ya Kumbukumbu ya kifo cha mwanakwaya mwenzetu ANNA ERASMO Sauti ya pili {ALTO} aliye fariki Tar. 07.10.2023. Pumzika Kwa Amani Mpdwa wetu.
Jina la Wimbo: GIZA NENE
Mtunzi: Mathias Mafipa.
Organist: Kazoba WJ.
Audio By: CRIZO
Video By: SIFURI
Karibuni sana tutazame kwa pamoja .
Ili uwe wa kwanza kutazama nyimbo zenye mafundisho na tafakari kutoka kwenye kwaya yetu... Usisahau Ku- SUBSCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENTS KWENYE CHANNEL YETU.
KARIBUNI SANA.
Ещё видео!