Siku tatu kabla ya ukaguzi wa shule za msingi zitakazotoa masomo ya Sekondari Msingi kukamilika rasmi, maafisa wa elimu kaunti ya Kisii wanasema kwamba shughuli hiyo imefikia asilimia 92% huku wazazi wakihimizwa kuwasiliana na wakuu wa shule zao kujua iwapo shule zao zimeidhinishwa kuendeleza masomo hayo. haya ni huku wanafunzi waliofanya mtihani wa gredi ya sita na shule zao wakipata matokeo kupitia mtandao wa baraza la mitihani nchini
Ещё видео!