Waimbaji: The Local Vocals
Mtunzi: Elly I. Ogutu
Audio Production: @khakolongoloo
Video Productions: Khakstudio Production
Organist: Enrique Onsakia
Karibuni kutazama kazi hii njema iliyoandaliwa na Producer Khaks kutoka Khakstudio Productions akishirikiana na The Local Vocals.
Wimbo huu wenye ujumbe mzito wa upendo wa Yesu hata kukibugia kifo chake msalabani unatukumbusha jinsi Mungu alivyo mwema, hata kumtoa mwanaye wa pekee ili tupate wokovu.
Ещё видео!