Jeshi la polisi limevamia nyumbani kwa mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee kwa lengo la kufanya upekuzi wakitafuta faili ambalo lilikuwa na nyaraka muhimu za kikao cha kumchagua meya wa jiji la Dar es Salaam uchaguzi ambao haukuweza kufanyika kutokana na kuwepo kwa taarifa kuwa kuna pingamizi limewekwa mahakamani.
Ещё видео!